WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA ISRAEL, ARIEL SHARON AFARIKI DUNIA Ariel Sharon enzi za Uhai wake Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85. Alikuwa katika hali ya umahututi kwa miaka nane tangu mwaka 2006. BBCSwahili TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment