Wanafunzi wa Chuo kikuu cha  TEKU wakiwa wanajikisanya kusikia uongozi wa chuo unatoa Tamko gani, huku wakipiga kelele
 Baadhi ya wanavyuo wakiwatimua wanafunzi wenzao walio  nje na kuwambia kama hawawezi bora warejee makwao
 Wakati  Makamu Mkuu wa Chuo cha TEKU akiongea nyuma Dr. Tuli Kazimoto huku nyuma waandishi wa Habari walikuwa wakikatazwa wasichukue habari.
 Depute Vice Chancellor Academic affairs  akiwa katika kikao kifupi na wanafunzi nje ya ofisi
 
 Hili ndilo Tamko Lililo leta utata kwa wanachuo hao ambao wanadai pesa zao za utafiti
 
Wanafunzi wa Chuo cha TEKU waakilikataa Tamko hilo 
 Baadhi ya Mabango waliyo kuwa wameyaandika

  Makamu mkuu wa chuo cha TEKU  Dr. Tuli Kazimoto  akiongea na wanachuo ili kuwasihi wawe wapole wakati suala lao linafanyiwa kazi.
 Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halikutambulika Mara Moja alichafua Hewa Baada ya Kuonekana anatetea Tamko la Utawala 
 Mmoja wa wanachuo wa TEKU akieleza kwa sababu gani wao wanataka pesa hizo

  Makamu mkuu wa Chuo cha TEKU  Dr. Tuli Kazimoto  akitaka weka Tamko ambalo baadae lilichanwa na wanafunzi hao na kusema ni upuuzi kuwekewa agizo hilo, na kuendelea kudai pesa zao .



Muhasibu wa Chuo kikuu cha TEKU   Jeremea Mwakanyerenge  akitoa maelezo kuhusu pesa za wanachuo hao ambapo aliwakoroga kabisa na kuwafanya watake pesa zao leo leo  
 


 Sikilizeni sasa





 Hatoki mtu hapa



Mpaka sasa hali si shwari endelea kufuatilia.

Chanzo: Mbeya Yetu
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top