TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Prof.
Peter Msolla (MB) kuwa Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais.
Taarifa
iliyotolewa leo, Ijumaa, 03 Mei, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu
Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Mei 2,
mwaka huu, 2013.
Imetolewa na:
Kurugenzi
ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar
es Salaam.
03
Mei, 2013
1 comments:
Congraturation
Post a Comment