Baadhi ya majeruhi katika shambulio la kigaidi jijini Nairobi.
 
Hali ilivyokuwa ndani ya jengo lililovamiwa na magaidi.
Walioshuhudia tukio hilo wanadai watu waliovalia magwanda yalioonekana kama ya kijeshi huku wengine wakiwa wamefunika nyuso zao walivamia jengo hilo huku wakifyatua risasi.

Maduka hayo ya Westgate hutendelewa sana na matajiri pamoja na wageni kutoka nchi mbalimbali.

Kupitia mtandao wao wa Twitter, Al Shabaab imesema kuwa Kenya ilijidai kutosikia onyo hizo, na kuendelea kuwaua waislamu wasio na hatia nchini Somalia, na shambulio la Westgate ni tone tu katika bahari ya mfano wa yanayowakumba wasomali nchini Somalia.

Taarifa kutoka Ikulu ya nchini Kenya, zinadai kuwa mmoja wa watuhumiwa aliyekamatwa katika tukio hilo  alifariki kutokana na majeraha yake.

Magaidi wapatao kumi walivamia jengo la kifahari la Westgate jana mchana la kuwapiga risasi kiholela Wakenya waliokuwa wanaendelea na shughuli zao zakawaida.
GPL 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

2 comments:

Unknown said... September 22, 2013 at 2:30 PM

Pole sana wa Kenya kwa kitondo kilicho tendeka uko, hivi kwa nini maduka kama hayo akuna ulinzi mkali.

Anonymous said... September 24, 2013 at 9:24 PM

poleni wakenya na nimefurai kwa kuwazibiti hao magaidi

 
Top