DSCN2227 
Hali ilivyokuwa katika eneo ambapo mlipuko umetokea DSCN2220 
Waumini na wananchi wengine wakiwa na shauku ya kujua kilichotokea DSCN2228 
Ulinzi umeimarishwa DSCN2252 
Viongozi wa Kanisa wakitoa taarifa ya kilichotokea kwa waandishi wa habari kabla ya Balozi wa Papa kuondolewa Kanisani hapo chini ya ulinzi mkali wa Polisi. DSCN2246 
Wanausalalama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio DSCN2282 
Meya wa Manispaa ya Arusha, Mh gaundence Lyimo akielekea eneo la tukio kwa miguu baada ya utaratibu wa kutumia magari kuwa mgumu kutokana na idadi kubwa ya watu na magari yaliyoziba njia. DSCN2258 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akiteta jambo na RCO wa Mkoa wa Arusha DSCN2273 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, magesa Mulongo akijiandaa kuzungumza na wananchi kanisani hapo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha watu wote waliohusika na jaribio hilo ovu, pamoja na mtandao wao wanakamatwa. Alidai pia vikosi vya Jeshi maalumu kwa kuchunguza milipuko vitafika eneo hilo ili kufanya uchunguzi. Taarifa za eneo la tukio zinaeleza kuwa tayari kuna mshukiwa mmoja ameshatiwa mbaroni na yuko mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa mahojiano na uchunguzi zaidi. DSCN2236 
Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia. Pichani unaweza kuona wigi za kichwani na viatu vya waumini vikiwa vimesambaa baada ya wenyewe kuviacha, miongoni mwao wakiwa ni majeruhi. DSCN2251 DSCN2267 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo. DSCN2276 DSCN2255 DSCN2281 DSCN2225 DSCN2222 DSCN2215 DSCN2218 DSCN2219
MPEKUZI
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top