KURUGENZI YA ELIMU ANUAI
PROGRAMU MAALUMU YA
KUWAANDAA WATAHINIWA KUFANYA/KURUDIA
MTIHANI WA TAIFA KIDATO CHA
NNE-2013/2014
Chuo Kikuu Teofilo Kisanji (TEKU)
kinakaribisha maombi kutoka
Kwa watahiniwa wote waliomaliza
Kidato cha Nne kujiunga na
program maalumu.
Lengo la programu hii maalumu ni
kuwawezesha watahiniwa
wanaopenda kujiunga na kidato cha
Tano pamoja na kozi
mbalimbali za cheti na stashahada
kupata sifa itakazowawezesha
kuendelea na masomo kwa ngazi
husika.
Masomo yataanza tarehe 30/4/2013
na yataendeshwa kwa muda
wa miaka miwili tu. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 28
/3/
2013 na usajili utafanyika tarehe 28/3/203.
Masomo yatakayofundishwa ni kama ifuatavyo:
· Uraia (Civics)
· Historia
(History)
· Jiografia (Geography)
· Kiswahili
· Kiingereza (English)
· Fizikia (Physics)
· Kemia (Chemistry)
· Biolojia (Biology)
· Hisabati (Basic Mathematics)
· Fasihi ya Kiingereza (Literature in
English)
Sifa za Mwombaji:
Muombaji awe na namba ya Mtihani
wa Taifa wa Kidato cha Nne
Ada kwa mwaka ni Tsh. 430,000/=
Malipo haya yanalipwa moja kwa
moja kwenye akaunti za Chuo
Kikuu Teofilo Kisanji
hayajumuishi gharama za
malazi, chakula na usafiri.
Akaunti za Chuo ni kama ifuatavyo:
Teofilo Kisanji University
NBC Account no. 016103001650
STANBIC Account no. 0140015028101
CBA Account no. 0300786000
CRDB account no. 01J1065895000
Fomu zinapatikana chuoni, eneo la Kitalu T, Mbeya mjini
na vilevile mwombaji anaweza kuzipata kutoka katika Tovuti ya chuo: www.teku.ac.tz
Maombi yatumwe kwa:
Mkurugenzi,
Kurugenzi ya Elimu Anuai
Chuo Kikuu Teofilo Kisanji
Kampasi ya Zamani, Kitalu. T
S.L.P. 1104
Mbeya
TANZANIA
Simu: +2550252502682
Faksi: 2550252503721
Baruapepe: info@teku.ac.tz
Tovuti: www.teku.ac.tz
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment