BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO KIDATO CHA NNE 2013 
BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA QT 2013
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ratiba kwa ajili ya mitihani inayofanywa chini yake itakayofanyika mwaka 2013 na 2014. 

Mitihani hiyo ni ya kidato cha nne (CSEE) na tano (ACSEE), ualimu ngazi ya cheti (GATCE) na stashaha (DSEE) pamoja na kozi maalumu kwa ualimu ngazi ya cheti (GATSCE). 

Bofya katika eneo husika hapo chini ili kupata ratiba.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top