Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa kwenye Ikulu ya Mwanza  August 8, 2014 ambako August 9, 2014 atakuwa mgeni rasmi katika harambee ya Mkapa Foundation inayotarajiwa kufanyika  jijini Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top