Wachezaji wa wakongwe wa Real Madrid wakiwa wanatoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, muda mfupi uliopita.

Wachezaji wa wakongwe wa Real Madrid wakiwa wanatoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, muda mfupi uliopita.
Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu (mwenye rasta) akimsalimia mwaandishi wa Global Publishers, Mohammed Mdose wa  (hayupo pichani)
Wachezaji wakongwe wa Real Madrid ya Hispania wakiweka pozi kwa ajili ya picha baada ya kutoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam, muda mfupi uliopita.
Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu (mwenye rasta) ambaye sasa ni mmoja wa wachezaji wa timu ya wakongwe ya Real Madrid, akiongoza wenzake kutoka kwenye ofisi za TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam.
Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Christian Karembeu (mwenye rasta) ambaye sasa ni mmoja wa wachezaji wa timu ya wakongwe ya Real Madrid, akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa TSN, Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA MOHAMMED MDOSE/GPL)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top