Home
»
»Unlabelled
» KAULI YA ZITTO YAMPAGAWISHA MWAMPAMBA: ANENA HAYA
Recent Posts
MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2015/2016
BOFYA HAPA KUPATA TANGAZO LA UTEUZI WA KIDATO CHA TANO 2015/2016 BOFYA HAPA KUPATA MAJINA WALIOC[...]
JKT WATOA UTARATIBU WA KUJIUNGA NA MAFUNZO KWA VIJANA WA KUJITOLEA 2015
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA [...]
6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa sita ka[...]
BENIN YATAJA NYOTA WA KUIVAA STARS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Oktoba 8, 2014 Kocha wa timu ya Taifa y[...]
MISS TANZANIA KUFANYIKA OKTOBA 11
Kamati ya shindano la ulimbwende la Miss Tanzania, imesisitiza kuwa shindano hilo, litafanyika k[...]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Chumvi ikiharibika itatiwa nini hata ifae tena? Hutupa njiani na kukanyagwa na wapita njia.
Ndugu yangu Mtela acha kujitia kiwi ya macho na kujifanya huoni wala huujui ukweli kuwa kwa kipindi hiki cha maisha magumu yenye dhiki iliyotukuka iliyosababishwa na chama unachokiita wewe "makini" (ccm) ni sawa na kujisiriba tope halafu ukajinadi kuwa umependeza ili hali watu wanaokutazama wanakuona kituko
Labda ungeanza kwa kututoa ujinga kuhusu huo umakini unaousema wewe ndani ya ccm ni upi? Je ni ule wa kuhamishia rasilimali za nchi ughaibuni? Je ni viongozi wa juu wa ccm (chama tawala) kujilimbikizia mali na kuzitumia kipindi cha uchaguzi?
Je ni kukumbatia rushwa na kuishabikia hadharani kitu ambacho kilipingwa sana kipindi cha Nyerere? Au ni umakini wa kusaini mikataba kandamizi na ya kinyonyaji dhidi ya wazawa? Je ni umakini wa kuhakikisha wanyonge walio wengi wanaendelea kuwa fukara ili wawe mtaji wa maccm kipindi cha kampeni kwa kupewa Tshts,kofia,kanga na pilau?
Ninapata maswali mengi sana nikikutazama na kusoma makala zako na hasa najiuliza hivi kati ya anayefungamana na wezi,majambazi na wadhulumaji na yule anayetetea maslahi ya umma ni yupi msaliti na mchawi mkubwa?
Post a Comment