Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimkabidhi Mkurugenzi wa
Rasilimali Watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kenneth Wanyoto cheti baada y
kuwa mmoja wa
wafadhiri wa hafla ya kuwazawadia waajiri Bora wa Mwaka 2012 katika
hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.Kushoto
ni Mwenyekiti wa ATE, Almas Maige |
0 comments:
Post a Comment