Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo
Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi
na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John
Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya
Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada…
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda,
Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John
Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mhe Magese Mulongo baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya
Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Mkoa wa Arusha.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa tayari kutunuku shahada
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mnadhimu Mkuu wa
majeshi ya Ulinzi nchini, Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba katika
sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali
Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Luteni Jenerali Charles
Lawrence Mkakala
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Salum
Mustafa Kijuu
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Raphael
Mugoya Muhuga
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ Meja Jenerali Joseph
Furaha Kapwani.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni
Safisha Msumbiji Brigedia Jenerali (Mstaafu) Wilfred Paul Mwakalambile
Kabunda
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni
Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Warrant Officer II Othuman Mohamed
Mpemba

Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Operesheni
Safisha Msumbiji Mwakilishi wa Kapteni Bruno Stansilaus Mtillu
Viongozi wakisimama mguu sawa kwa wimbo wa Taifa baada ya zoezi la kutunuku Shahada
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wakiwa mguu sawa kwa wimbo wa Taifa
Pichani juu na chini Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na makamanda wakuu wa JWTZ.
0 comments:
Post a Comment