Jeshi la Polisi Tanzania linawaita kwenye usaili vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2013 na  kidato cha sita mwaka 2014 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya  kujiunga na Jeshi la Polisi.

Usaili utafanyika katika miji ya makao makuu ya mikoa Tanzania Bara Kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapa chini:

NA MIKOA KITUO CHA USAILI TAREHE ZA USAILI MUDA WA  USAILI
1  TANGA OFISI YA RPC TANGA 18-21 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
2 PWANI OFISI YA RPC PWANI 23-26 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
3 DSM ZONE OFISI YA RPC  ILALA,KINONDONI,TEMEKE 28-01 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
4 MTWARA OFISI YA RPC MTWARA 03-06 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
5 LINDI OFISI YA RPC LINDI 08-11 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
6 SIMIYU OFISI YA RPC SIMIYU 18-21 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
7 SHINYANGA OFISI YA RPC SHINYANGA 23-26 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
8 TABORA OFISI YA RPC  TABORA 28-01 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
9 KATAVI OFISI YA RPC  KATAVI 03-06 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
10 RUKWA OFISI YA RPC RUKWA 08-11 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
11 KILIMANJARO OFISI YA RPC KILIMANJARO 18-21 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
12 ARUSHA OFISI YA RPC ARUSHA 23-26 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
13 MANYARA OFISI YA RPC MANAYARA 28-01 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
14 SINGIDA OFISI YA RPC SINGIDA 03-06 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
15 DODOMA OFISI YA RPC DODMA 08-11 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
16 KIGOMA OFISI YA RPC KIGOMA 18-21 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
17 MWANZA OFISI YA RPC  MWANZA 23-26 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
18 MARA OFISI YA RPC  MARA 28-01 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
19 GEITA OFISI YA RPC GEITA 03-06 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
20 KAGERA OFISI YA RPC  KAGERA 08-11 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
21 MOROGORO OFISI YA RPC MOROGORO 18-21 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
22 IRINGA OFISI YA RPC IRINGA 23-26 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
23 MBEYA OFISI YA RPC  MBEYA 28-01 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
24 NJOMBE OFISI YA RPC  NJOMBE 03-06 /10/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
25 RUVUMA OFISI YA RPC RUVUMA 08-11 /09/2014 08:00 ASUBUHI -16:00 JIONI
 Muhimu:
(i) Mwombaji anaruhusiwa kufanya usaili kwenye kituo chochote cha usaili kilicho karibu naye kulingana na tarehe zinavyoonesha kwenye jedwali hapo juu ili mradi awe amejiridhisha kuwa ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili. Jeshi la Polisi halitashughulikia usaili wa mtu ambaye hayupo kwenye orodha ya walioitwa kwenye usaili.

 (ii) Mwombaji aliyeitwa kwenye usaili aje na vyeti vyote vya masomo [(Academic Certificate(s)/Results slip(s) & Leaving certificate(s)] na nakala halisi ya cheti cha kuzaliwa (Original Birth certificate)]. Hati ya kiapo cha kuzaliwa haitakubalika.

 (iii) Mwombaji awe na namba ya simu itakayotumika kumjulisha endapo atachaguliwa..

 (iv) Kila mwombaji aliyeitwa kwenye usaili atajigharamia usafiri, chakula na malazi kwa muda wote wa zoezi la usaili. Pia waombaji waje na kalamu za wino kwa ajili ya usaili wa kuandika.

 Ni muhimu sana kwa kila mwombaji kuzingatia muda wa kuanza usaili.

PAKUA ORODHA YA MAJINA HAPA
2.Bofya hapa kupata majina ya vijana wa kidato cha Nne 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top