Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari limelipuka nje ya uwanja wa ndege mjini Mogadishu Somalia.
Duru zinasema kuwa mlipuko huo ulitokea karibu na eneo la kuegesha magari.
Moshi mkubwa umeripotiwa kufuka kutoka katika eneo hilo ingawa idadi ya waliojeruhiwa bado haijulikani. Taarifa zaidi zinakujia hivi punde.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment