Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi
Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye
Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama
vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,
baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea
Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam,
leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za
kiraia. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki
Kongamano hilo baada ya ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands
jijini Dar es Salaam leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi
ya dini na Asasi za kiraia.
Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.PICHA NA OPM
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment