Kimbunga kilichoambatana na mvua kali kimeua watu wawili na kuharibu nyumba zaidi ya 183 katika Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya.
![]() |
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abas akielezewa jinsi kimbunga hicho kilivyo haribu nyumba za wananchi wa kata tatu Mbarali |
![]() |
| Mkuu wa mkoa Mbeya akitembelea maeneo yalioadhirika na kimbunga hicho |
![]() |
| Moja wa waadhirika katika kimbunga hicho |
![]() | |||
| Via Mbeyayetublog |














0 comments:
Post a Comment