TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE NA MTIHANI WA MAARIFA NOVEMBA, 2013 NA UPANGAJI WA ALAMA ZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA KIDATO CHA SITA (GRADE RANGES)

Taarifa hii inahusu kuanza kufanyika Mtihani wa Kidato cha Nne na Mtihani wa Maarifa mwaka 2013; pamoja na kufafanua kuhusu utaratibu wa upangaji wa alama za matokeo ya Mtihaniwa kidato cha Nne na Kidato cha Sita (Grade Ranges).


icon Bofya hapa kupata taarifa za mtihani kidato cha nne na wa Maarifa mwezi  Novemba 2013.

icon Bofya hapa kupata taarifa za viwango vya alama na matumizi ya alama endelevu



Chanzo: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top