ILIKUWA kama vile kubadili jiografia ghafla kwa baadhi ya watumishi wa
Halmashauri ya Mji Mpanda walipojikuta wakiangalia tukio la ghafla mara
baada ya kufika magari mawili Karandinga yakiwa na idadi ya watu bila
kujua nini kilikuwa kikiendelea kwa watu hao na kitafuata nini baada ya
hapo.
KAMERA YETU ILIWEZA KUWAJIBIKA KIASI NA KUPATA HIZO PICHA HABARI KAMILI BAADA YA TARATIBU ZA KIUTENDAJI NA MAADILI KURUHUSU.
Chanzo: Sumiampandablg
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment