Matairi yakachomwa katikati ya barabara
![]() |
Mambo hayo |
Askari wakiondoa magogo yaliyowekwa barabarani na waandamanaji
Baadhi ya wananchi wakitafakari juu ya kinachoendelea
Hali ilivyokuwa katika mkituo cha Polisi
Wananchi wakikimbia kutoka eneo la tukio
Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani akiongea na waandishi wa habari |
Wanafunzi wakisindikizwa na jeshi la polisi kurudi majumbani mwao
Polisi wakiendelea kazi yao katika mitaa ya Tunduma
Baadhi ya magati ya IT yaendayo nchini Zambia yakiwa yamepakiwa nnje kidogo ya mji wa Tunduma kuogopa kuharibiwa kwa magari hayo |
Chanzo: Mbeya Yetu TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment