Latest News

Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam jana.
Zenye rangi ya njano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo na zingine za kijivu ni za kivita.

Picha na Issa Michuzi


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top