MMOJA WA DEREVA KATI WA LORI AKIWA AMEKAA CHINI BAADA YA KUVUNJIKA MIGUU KISHA MUDA MFUPI KUFARIKI DUNIA KATIKA BARABARA KUU YA MOROGORO-PWANI ENEO LA BWAWANI MKOA WA PWANI AMBAPO WATU WATATU WALIFARIKI DUNIA PAPO HAPO BAADA YA KUTOKEA AJALI YA LORI NA TANKI LA MAFUTA KUGONGANA USO KWA USO MARCHI 31/ 2013.  
PICHA KWA HISANI YA MDAU, CHARLE MUHIKWA.

LORI LIKIWA LIMEANGUKA NA KUHARIBIKA VIBAYA BAADA YA KUTOKEA AJALI HIYO.

DEREVA WA LORI AKIWA AMEKATIKA MIGUU KABLA YA KUFARIKI DUNIA MUDA MFUPI KATIKA AJALI HIYO.



LORI LIKIWA LIMEZIBA BARABARA BAADA YA KUTOKEAA AJALI HIYO NA KUSABABISHA FOLENI KUBWA KWA MAGARI YALIYOKUWA YAKITUMIA BARABARA KATI YA DAR ES SALAAM NA MOROGORO.
CHANZO: dj Seki
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top