Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na wananchi na wana CCM alipotua uwanja wa ndege wa mji huo
mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM
zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mama Salma Kikwete akisalimia wakati yeye na
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege
wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa
CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na mwandishi wa Radio Uhuru FM mara tu alipotua uwanja wa ndege
wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa
CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dkt Asha-Rose Migiro Ikulu Ndogo ya mjini Kigoma
Wasanii Dokii na Abdul Misambano na wadau wakiwa mjini Kigoma
Wanahabari waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Ndugu Muhammad Seif
Khatib wakiongea na Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma
kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na
viongozi wa vyama tawala vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na
Burundi ambao wamealikwa katika sherehe hizo
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment