Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na wananchi wa Kigoma wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa
Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na viongozi wengine akikata
utepe kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania, Uganda na Burundi Bw Phillipe Dongier, wakifunua kitambaa cha
jiwe la msingi katika uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari
4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na viongozi wengine baada ya
uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi
mbalimbali wakipata maelezo juu ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma
toka kwa mhandisi George Sambali wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
Msanii Diamond na kundi lake
wakitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi Bw. Phillipe Dongier akitoa hotuba
kwa kiswahili fasaha wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma Januari 4, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya
Muungano eneo la Kibaoni wilayani Uvinza, Kigoma, akiwa njiani kuelekea
mjini Kigoma, akitokea kukagua ujenzi wa daraja la Mto Malagarasi Januari 4, 2013
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment