![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete |
Kikao
hicho pamoja na mambo mengine kitajadili maendeleo ya hali ya siasa nchini
Madagascar na hali ya usalama Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .
Viongozi
wanaotarajiwa kuhudhuria kikao hicho ni Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia
ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Troika, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais
Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment