Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa hospitali ya
Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo
Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada
ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na baadhi
ya wafanyakazi na uongozi wa hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es
salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo
jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya
kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013
PICHA NA IKULU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment