Mkurugenzi wa Mahusiano wa Zantel, Ahmed Seif Mohamed (kushoto ), akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TASWA), Juma Abbas Pinto, mfano wa hundi ya thamani ya Sh. Milioni 6 na Elfu 40, kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa chama hicho, utakaofanyika Desemba 21 na 22, mwaka huu Bagamoyo mkoani Pwani. Katikati ni Katibu Msaidizi wa TASWA, George John.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top