Kutokana na maendeleo ya sanyasi na teknolojia mwaka 2050 ni mbali sana. Tusipofanya mageuzi ya makusudi na ya haraka 2050 hali inaweza kuwa mbaya na tiba yake kuwa ngumu kuipata. Tutafute ufumbuzi haraka hata kama tumechelewa. Elimu bora katika mazingira bora. Mazingira bora ni pamoja na mwalimu mwenye afya na maslahi bora. viongozi ni pamoja na walimu viongozi.Wanapaswa kuwa viungo cha pande mbili; walimu na viongozi na si viongozi kwa walimu. Pengo kati ya mwalimu na kiongozi lizibwe haraka kwa kumlipa mwalimu mshahara mzuri, madai yake tena kwa wakati.
Mchoro kwa hisani ya http://www.wavuti.com TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top