Maafisa waandamizi katika kundi la wapiganaji la Mahmoud Abbamas wanasema kuwa kundi hilo limetia sahihi ahadi ya kuunga mkono ombi lolote la Palestina la kujiunga na mahakama ya kimataifa ya ICC.
Hatua hiyo inakamilisha makubaliano ya makundi yote ya Palestina ambayo rais
Mahmoud Abbas amesema anahitaji kabla ya kuchukua hatua yoyote.
Waandishi wanajua kwamba bwana Abbas huenda akaikasirisha Marekani kwa
kutokuwa mwanachama wa mahakama hiyo nayo Israel huenda ikakabiliwa na uchunguzi
wa uhalifu wa kivita.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment