Habari
mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha
wanne, Pichani, amefariki dunia jioni ya leo(jana) baada ya kuugua kifua kwa
muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni
mkubwa. Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
Mwandishi
Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango , akiwa pamoja na mtoto wake
Erick Mwaisango wakati walipokwenda kuwatembelea watoto hao.
Chanzo: Mbeya yetu
Chanzo: Mbeya yetu



0 comments:
Post a Comment