John Mnyika
Jana mitandao ya kijamii ilijazwa taarifa kwamba
jana jioni, John Mnyika (Mb) alimwandikia barua ya kujiuzulu Katibu
Mkuu wa CHADEMA.
Ofisa Habari Mwandamizi wa CHADEMA, Tumaini Makene (0752 691569) alijibu kwa kukanusha kuhusu taarifa hizo na kuongeza kuwa kwa muda uliotajwa, Mhe. Mnyika alikuwa katika shughuli za chama akitimiza majukumu yake.
Akasema taarifa hizo ni mradi wa kutengeneza uongo unaofadhiliwa na watu kwa sababu ya, “kuwasumbua wanachama na

0 comments:
Post a Comment