Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule.

Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu, kijana tuungane kwa pamoja kupinga biashara hii haramu na hatari sana tukishirikiana kwa pamoja na Serikali kwa pamoja tunaweza kutokomeza madawa haya haramu na hatari sana kwa jamii yetu.




Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.




Yanavyoweza kuathiri baadhi ya sehemu za mwili.



Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki.



Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu.




Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo.



Kama uonavyo madawa yakiwa ndani ya utumbo mpana.




Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha.


Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo.



Kabla mtu hajazimeza kete za madawa ya kulevya zinakuwa hivi; hebu fikiria mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari .

Chanzo: Gumzolajiji

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top