Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa

Ifuatayo ni orodha ya wanafunzi 1171 wakiwemo wavulana 884 na wasichana 287 waliochachaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2013 awamu ya pili. Wanafunzi hawa wanatakiwa kuripoti kwenye shule walizopangwa mara baada ya kuona majina yao kwenye mtandao. Wahakikishe kwamba wanaenda na vyeti vya matokeo yao (result slip) na cheti cha kuhitimu Kidato cha Nne (Leaving Certificate)
Bofya hapa kupata majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato 5 mwaka 2013.

Via Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top