Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2013/2014 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 15/08/2013.
Fomu ya maelekezo (joining instruction) itatumwa kwa mhusika kupitia anuani yake. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye tovuti hii kwa kubofya katika link ya Chuo husika.
Wanafunzi wanatakiwa kufika Vyuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:
1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania kidato cha NNE na SITA kulingana na kozi husika;
2. Ada ya muhula wa kwanza sh.100,000/= au ya mwaka sh. 200,000/=;
3. Sare ya Chuo kulingana na maelekezo ya Chuo husika; na
4. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi.
Mkuu wa Chuo anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii tu na SI vinginevyo.
Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo utafungwa tarehe 25/08/2013 saa 12.00 jioni.
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI 2013/2014 (1.64 MB)
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA 2013/2014 (997.5 kB)
Fomu za Maelekezo (Joining Instructions)
1. Bunda TC
2. Bustani TC
3. Butimba TC
4. Dakawa TC
5. Ilonga TC
6. Kabanga TC
7. Kasulu TC
8. Katoke TC
9. Korogwe TC
10. Klerruu TC
11. Kinampanda TC
12. Mandaka TC
13. Marangu TC
14. Monduli TC
15. Mtwara (K) TC
16. Mtwara (U) TC
17. Mpuguso TC
18. Morogoro TC
19. Mhonda TC
20. Murutunguru TC
21 Mpwapwa TC
22. Ndala TC
23. Patandi TC
24. Kitangali TC
25. Nachingwea TC
26. Tandala TC
27. Tabora TC
28. Sumbawanga TC
29. Shinyanga TC
30. Singachini TC
31. Songea TC
32. Tarime TC
33Tukuyu TC
34. Vikindu TC
Chanzo: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment