Basi la kampuni ya Sumry High Class likiwa mtoni baada ya kupata ajali saa 7:30 usiku kuamkia Julai 5, 2013 katika Mto Iku katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi ambapo maiti tisa ziliopolewa katika ajali hiyo na majeruhi 53

Basi likiopolewa mtoni na mtambo  


Baadhi ya majeruhi wahanga wa ajali ya Basi la Sumry iliyotokea Sitalike katika mto Iku Julai 5, 2013 majira ya saa 7:30 usiku



Hili ni Daraja ambapo basi la Sumry lilishindwa kukata kona baada ya dereva kushindwa kulimudu. Kijidaraja hiki kinadaiwa kusababisha ajali tisa tangu Januari 2013 hadi Juni 2013.



Basi la Sumry lenye namba T909AZT likiwa katika sura tofauti mara baada ya kuondolewa mtoni Sitalike maarufu kama nyumba ya Viboko Julai 5, 2013


TAARIFA YA MAKOSA MAKUBWA YALIYOLIPOTIWA MKOANI KATAVI KUANZIA TAREHE 04.07.2013HADI TAREHE 05.07.2013.


01: BASI  LAACHA  NJIA NA KUTUMBUKIA MTONI NA    KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI:

Mnamo tarehe 05/07/2013 majira ya saa 00:05hrs huko sitalike wilaya ya mlele mkoa wa katavi gari no:T.909 AZT nissan diesel mali ya kampuni ya Sumry  likiendeshwa na dereva  Stephano s/o Chimane @ Ntungu liliacha njia na kutumbukia katika mto Stalike @ mto iku na kusababisha vifo kwa watu 9  akiwemo 1.Isabela d/o Mwasunga ,18yrs, Mnyakyusa, mwanafunzi wa Kenswa sekondari,  2.Boniface s/o mwasunga,14yrs,mwanafunzi       wa Ikondamoyo,3.  frida d/o nikutusya, 44yrs, mkazi wa Mpanda hoteli, 4. Selevesta s/o Sinkala, 62yrs, Mpimbwe, mkulima wa Sibwesa, 5.Dominika d/o Evarist, 19yrs, mkonongo,mwanafunzi wa Inyonga ,6.Pendo d/o ?,Mfanyakazi wa Maridadi Bar  7. Sifoliona  d/o Martine, miezi 4, mtoto, mkazi wa Majengo na wengine wawili bado hawajafahamika kwa majina na  majeruhi kwa watu  50  1. Zephania s/o Ernest, 26yrs, mzinza,  mwalimu wa Geita, 2.Stanslaus s/o Malimba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa,inyonga, 3.Helieth d/o Malekela, 18yrs, mbena, mwanafunzi wa makanyagio,4.Mwita s/o Bita,43yrs Mjita,mwalimu wa Nsimbo,5.Lidia d/o Atenye,39yrs,mfipa ,mkulima wa Ikola,6.Amina d/o Juma,33yrs,mbende,mkulima wa makanyagio,7G.5296 pc Abel wa polisi wilaya Mpanda,8.Abeli s/o Chakupewa,47yrs,mfipa mhasibu wa sumatra,9.mwalusi s/o Sanga,27yrs,mkinga biashara Kotazi, 10.Shabani s/o Omary, 43yrs, mkulima wa Zanzibar, 11.Ferick s/o Mwalema, 30yrs , Mnyiha, mwalimu wa Kasulu, 12 .Ahamedi s/o  Ramadhani, 44yrs, Mjenzi,wa zanzibar, 13. Hamis s/o time, 44yrs, fundi, Zanzibar, 14. Yusuph s/o Masu, 29yrs,Mshilazi, Zanzibar, 15. Nemlodi s/o Kanu, 22yrs,mfipa,mwanafunzi wa Sumbawanga, 16. Wilachinza s/o Jolamu, 23yrs, muha, mwalimu,wa Mchakamchaka, 17John s/o Melisho, 49yrs, mchaga, mfanyabiashara wa Makanyagio, 18.Robert s/o Sikala, 29yrs, mnyiha, mwalimu wa kabungu,19.omary s/o Abedy, 41yrs, mshilazi,    20. Jeska s/o Kanzeni, 24yrs, mfipa, mwalimu wa Kigoma, 21.Recho d/o Jackison, 20yrs, mwanafunzi wa mbeya, 22. Zufa d/o Jafari, 28yrs, mkulima wa Chunya, 23.Reya d/o Alfosi,22yrs, Mnyika ,mkulima wa sitalike, 24.Idaya d/o mkumbi,14yrs, mnyamwezi, mwanafunzi wa Bagamoyo, 25.gift s/o Maltini, miezi4, mchaga wa Sumbawanga, 26.Maria d/o Minisi,25yrs,mchaga,mkulimawa Sumbawanga,27.Hilida d/o titho, 44yrs, muha wa Sumbawanga, 28. Patric s/o Alfred, 22yrs ,mfipa wa Sumbawanga, 29. Gelard s/o Kanzai, 42yrs, mfipa wa Ikola, 30. Gwamaka s/o Mwaipisi, 27yrs, mnyakyusa, mkazi wa Kukuyu, 31.Yusuph s/o Musa,16yrs, muha wa kichangani, 32.Emmakulata d/o Boniphace, mchaga, Nsemlwa, 33.Sara w/o majura, 41yrs, Mpare, kawajense, 34.John s/o Ndumbalo,30yrs,Mngoni,mwalimu wa Makanyagio, 35.Frank s/o Elius,20yrs,mfipa,mkulima wa Tambukareli, 36.Suzan s/o Samson, 29yrs, Mnyiha, mwalimu, mkazi wa Uruira, 37.Hamisa d/o Athman 36yrs muha,mfanyabiashara, mkazi wa Sumbawanga, 38.luice s/o Morice, 23yrs, mbende, mkulima, mkazi wa Kasekese, 39.Ibrahim s/o Amiry, 17yrs, muha, mwanafunzi, mkazi wa Makanyagio – Mpanda, 40.Neema d/o Robert, 28yrs, mnyakyusa, mkulima, mkazi wa Kabungu, 41.Magdalena d/o Thomas, 26yrs, Mkisi, mwalimu, mkazi wa Mapili, 42.joyce d/o sylivestr, 32yrs, mkimbu, mamalishe, mkazi wa Chunya – mbeya, 43.Adelina d/o Oneli, 2yrs, mtoto mdogo, mkazi wa Mpanda, 44.Anastazia d/o Gervas, 32yrs, muha, mkulima, mkazi wa Majengo – Mpanda, 45.Stanslaus s/o Malumba, 53yrs, Mkonongo, mkulima wa Mapili, 46.Bahati s/o Ndondole,25yrs, Mbena, mwalimu wa kawajense na wengine wanne wametibiwa na kuruhusiwa.
 Chanzo cha ajali  ni ubovu wa gari kufeli breki, dereva wa Gari hilo alikimbia mara baada ya kutokea ajali hiyo juhudi za kumtafuta zinaendelea.

RAI;
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linatoa rai kwa wamiliki wa vyombo vya moto kufanya  ukaguzi na matengenezo ya mara kwa mara kwa vyombo vyao na linawaasa  madereva kuwa makini wanapoendesha vyombo hivyo kwani watambue kuwa wanabeba maisha na uhai wa wanadamu.
    Naomba kuwasilisha tafadhari. 
                                          ……………………………….
(EMMANUEL J. NLEY-ACP)
KNY: KAMANDA  WA POLISI
MKOA WA KATAVI.
Picha kwa Hisani ya Sumiablog
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top