DSC 5858 7c6e5
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakisalimia baadhi ya viongozi, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Iringa asubuhi hii, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku saba, mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu
DSC 5861 961ae
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wa mkoa wa Iringa. Nyuma ni Nape Nauye akiwa na wenyeji wao.
DSC 5863 20f77
Kinana akisaini kitabu cha wageni Uwanja wa Ndege wa Iringa baada ya kuwasili uwanjani hapo asubuhi hii. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Joyce Msavatavangu
PICHA NA:BASHIR NKOROMO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top