Kifo cha Castor Sote Yawamba kinaonekana kuwagusa kwa namna ya pekee wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kitulo iliyopo wilayani Makete na wananchi wa maeneo ya jirani na shule hii. Video hii inaonesha picha halisi ya uchungu huo.
VIDEO NA BLOG YA AZIMIOLETU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top