Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa
Jeshi la Magadu mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013
akiongozana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude tayari
kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe. Zaidi ya
Shilingi milioni 250 zilipatikana katika harambee hiyo, ikiwa ni zaidi
ya lengo la kupata milioni 200 walilojiwekea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili akimkabidhi mjumuisho wa michango Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude katika
harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe
iliyofanyika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Magadu mjini
Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude katika
picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na kamati ya harambee ya
ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa
la Magadu mjini Morogoro usiku wa
kuamkia leo Machi 15, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi kwa watawa keki
maalumu iliyopigwa mnada na kununuliwa kwa zaidi ya shilingi milioni
moja. Aliitoa keki hiyo kama zawadi kwa watoto yatima wanaolelewa na
watawa hao
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wakipokea keki maalumu iliyopigwa mnada na kununuliwa kwa zaidi ya shilingi milioni moja
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wakiongea wakati wa harambee hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisimamia harambee ya ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe iliyofanyika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Magadu mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013. Kuume kwake ni Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa harambee ya ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe iliyofanyika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Magadu mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013.
Sehemu ya waliohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe iliyofanyika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Magadu mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha mmoja wa wachangiaji kupiga
naye picha na kuchanga shilingi milioni moja wakati wa harambee ya
ujenzi wa kanisa jipya la Kigurunyembe iliyofanyika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Magadu mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo Machi 15, 2013.
PICHA NA IKULU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment