Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la Maua
katika kaburi la Marehemu Askofu Dkt.Thomas Laizer wakati wa mazishi
yaliyofanyika katika Kanisa KKKT Usharika wa mjini Kati,Arusha mjini
leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili
Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa
na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya
Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini
Kati.mjini Arusha leo.
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe wakati wa Mazishi ya Askofu
Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati(picha na
Freddy Maro)
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati,jijini Arusha.
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo
na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin William Mkapa wakati wa
Mazishi ya Askofu Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa
mjini Kati
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia
mkono baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya ya Askofu
Thomas Laizer leo katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
0 comments:
Post a Comment