Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibwa wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tarehe 02/02/2013 tayari kwa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi, yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mkoani Kigoma kesho.
Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Chipukizi wa CCM mkoani Kigoma wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tarehe 02/02/2013 tayari kwa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi,yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika,Mkoani Kigoma kesho.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi CCM,Nape Nnauye wakati alipo wasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma,Jioni ya leo tarehe 02/02/2013 tayari kwa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 36 ya Chama Cha Mapinduzi, yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Mkoani Kigoma kesho.


Pix 3038,3102 - Mwenyekiti wa Chama cha Mainduzi (CCM),Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia wananchi wa Mkoa wa Kigoma wakati alipowasili leo.

PICHA NA IKULU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top