Baraza la mitahani la taifa  limetoa tovuti rasmi kwa ajili ya kuangalizia matokeo pindi yatakavyo tangazwa. Tovuti hizo ni www.necta.go.tz na www.matokeo.necta.go.tz

Aidha, wamesema kwamba tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi www.moe.go.tz haitatumika kwa sasa kwa sababu haipo hewani. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top