Mwenyekiti wa kamati ya Madai ya wafanyakazi hao Rashid Mohamed
amesema tangu mwaka 1995 wamezungushwa katika wizara mbalimbali bila kulipwa mapunjo ya mafao yao wanayoidai serikali.
Bwana Mohamed amesema hawawezi kujua kiasi wanachodai kutokana na kwamba kila mfanyakazi alilipwa kulingana na tathmini yake,ambapo wafanyakazi waliostaafishwa kwa maslahi ya umma walikuwa 933 lakini serikali inadai wako 638.
0 comments:
Post a Comment