Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa
Mhe Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe
Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiongea na
Rais Mstaafu wa Ufaransa Mhe. Valery Giscard d'Estaing na ujumbe wake
katika hafla ya chakula cha usiku alichoandaa Rais huyo Mstaafu ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Wildlife Foundation jijini Paris
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na
Kiongozi wa jumuiya ya Ismailia duniani HH The Aga Khan alipomtembelea
Hotel le Meurice jijini Paris
PICHA NA IKULU
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment