Mkutano wa Wahandisi washauri wa kimataifa unataraji kuanza leo na kumalizika kesho katika hotel ya Serena jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha wahandisi washauri Tanzania  Injinia Menye Manga amesema ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuandaa mkutano huo ambao utajadili masuala mbalimbali yanayohusiana na uhandisi.
Injinia Manga amesema ni fursa nzuri kwa Watanzania kutumia mkutano huo ili kubadilishana uzoefu na wataalam wengine kutoka nje ya Tanzania.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top