na
Wananchi wakijaribu kumwokoa dereva na msaidizi wake waliofunikwa na kichwa cha lori lenye namba T229 AVP lililopata ajali mpakani mwa Njombe na Ruvuma majira ya saa nne asubuhi tarehe 26/11/2012.Lori hilo, lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea mkoani Ruvuma, lilikuwa limebeba mbolea  Mungu mkubwa, "catapillar" lililokuwa likisafirishwa kutoka Songea kwenda Njombe lilishushwa kwenye lori na likatumika kuinua gari lililopata ajali baada ya jitihada za malori mengine kwa kusaidiana na nguvu za abiria, kutoka au kuelekea Songea, kukwama. Baada ya masaa matatu majeruhi waliokolewa wakiwa hai licha ya kujeruhiwa baadhi ya viungo na kukimbizwa hospitalini Njombe kwa matibabu.Katika muda wote wa uokoaji hakuna afisa usalama yeyote aliyefika licha ya kupewa taarifa mapema.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top