BOFYA HAPA KUPATA TANGAZO LA UTEUZI WA KIDATO CHA TANO 2015/2016 BOFYA HAPA KUPATA MAJINA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2015/2016 OWMDDDDD…
JKT WATOA UTARATIBU WA KUJIUNGA NA MAFUNZO KWA VIJANA WA KUJITOLEA 2015
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015. UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO: BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015, MCHAKATO WA KUC…
6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa sita katika kesi ya mauaji ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wa mkoani Morogoro na mfanyakazi wa Benki ya NMB. Mauaji hayo ambayo yalipata umaarufu na kupewa jina la maua…
BENIN YATAJA NYOTA WA KUIVAA STARS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Oktoba 8, 2014 Kocha wa timu ya Taifa ya Benin, Olle Didier Nicolle ametaja kikosi cha wachezaji 18 kwa ajili ya mechi dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mfaransa huyo ameita wachezaji 13 wanaocheza nje ya …
MISS TANZANIA KUFANYIKA OKTOBA 11
Kamati ya shindano la ulimbwende la Miss Tanzania, imesisitiza kuwa shindano hilo, litafanyika kama ilivyopangwa kufanyika Oktoba 11, katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Awali kulikuwa na zuio la mahakama hivyo kutishia kutofanyika kwa shindano hilo. Shindano la Miss Tanzania kw…
MAHAKAMA YAZUIA KUFANYIKA KWA ‘BANG BANG BEAR FEST’ KWA KUKIUKA SHERIA ZA HAKI MILIKI

Mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni jijini Dar es Salaam imezuia kufanyika kwa tamasha lililopewa jina ‘Bang Bang Bear Fest’ lililokuwa linatarajiwakufanyika Jumamosi hii.Uamuzi wa mahakama hiyo umetokana na malalamiko yaliyotolewa na Bongo5 Media Group ambao wanamiliki wazo halisi la tamasha la ain…
WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA MZUMBE 2014/2015 HAWA HAPA
BOFYA HAPA KUPATA MAJINA Bacherlor Degree Programmes 2014-2015 Bacherlor Degree Programmes 2014-2015 Bacherlor Degree Programmes 2014-2015 DDDDD…
RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa. Rais Jakaya Mrisho …
GOVERNMENT SCHOLARSHIPS TENABLE IN THE REPUBLIC OF KOREA FOR THE YEAR 2015
The Ministry of Education and Vocational Training is inviting application from qualified Tanzanians for the undergraduate degree programme (hereafter called 2015 undergraduate GKS”) to be conducted in the Republic of Korea for the academic year 2015- 2020 Qualifications Prospective candidate…
HABARI PICHA: MAANDAMANO YA HONG KONG NA KINACHOENDELEA

Kiongozi wa Hong Kong amesema kuwa Uchina haitabadilisha kanuni za uchaguzi Kiongozi wa jiji la Hong Kong C Y Leung ametoa wito wa kusitishwa maandamano ambayo amesema yamedumaza shughuli katika jiji zima. Amesema kuwa maandamano hayo hayawezi kubadili msimamo wa China juu ya mabadiliko ya mfumo…