Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu ghrama za mazishi ni $6,000 .
 
Jina la AC ni Memorial for late Mike Lukindo 
Benki ni Madison Chase Bank AC ni 579362299 
Route ni 075000019 
 
Tafadhali ndugu zangu, Watanzania wenzangu msiba huu ni wetu sote chochote utakachokua nacho kitasaidia kumzika ndungu yetu asante.
GPL

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top