ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI MWAKA WA MASOMO 2014/2015.


Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo haya wanatakiwa kuripoti Chuo cha Ualimu Monduli kuanzia tarehe 14/07/2014 hadi 15/07/2014.
 
MAELEKEZO MUHIMU


Wanafunzi wanatakiwa kufika chuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:-
 1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania vya Kidato cha NNE na SITA;
2. Sare ya Chuo (Shati/Blauzi nyeupe mikono mirefu:Suruali/sketi: koti na tai rangi ya “dark blue”); na
3. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi. 

 
Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo utafungwa terehe 18/07/2014 saa 12.00 jioni.

icon BOFYA hapa kupata majina)
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi  TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top