Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawatangazia walimu na wanafunzi wote wa Shule za Msingi kuwa, matangazo ya vipindi vya shule kwa njia ya Redio Muhula wa Kwanza, 2014 yataanza kutangazwa siku ya Jumatatu tarehe 10/02/2014 na TBC Taifa.

Nawaagiza Maafisa elimu wa mikoa na wilaya simamieni usikilizaji wa vipindi hivi katika maeneo yenu.


Eustella Bhalalusesa
Kamishna wa Elimu
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
iconBofya hapa kupata ratiba
Chanzo: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top