Serikali ya
Tanzania imepokea mwaliko wa Skolashipu kutoka kwa Serikali ya Indonesia
kwa mwaka 2014/2015. Skolashipu hizo ni kwa kipindi cha kati ya miezi
sita na/au mwaka mmoja.
Wadau wote, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wenye sifa wanashauriwa wasome mwongozo na wajaze fomu za maombi zinazopatikana kwenye Mtandao wa Serikali ya INDONESIA ufuatao ”http://darmasiswa.kemdiknas.go.id ”
Fomu za maombi zilizokamilika kujazwa pamoja na viambatisho vilivyoainishwa ziwasilishwe kwenye Ubalozi wa Indonesia hapa Tanzania kabla ya tarehe 24/01/2014.
Katibu Mkuu,
Wizara Ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
S. L. P 9121,
DAR ES SALAAM
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:
Post a Comment