Kwa hisani ya www.wavuti.com
Dereva anaendesha gari na mtu wa pili ambaye ni abiria amepewa jukumu moja tu la kuhakikisha kuwa gia haifyatuki. Mwanablog ilipotaka kujua ni kwa nini imekuwa hivyo, dereva alijibu kuwa "unajua gari zetu zimechoka gia namba tatu inafyatuka ninapokuwa katika tambarare au mteremkoni hivyo nahitaji mtu wa kunisaidia". Matrafiki mpo?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

 
Top